Ezekiel 48:28

28 a“Mpaka wa kusini wa Gadi utapita kusini kuanzia Tamari hadi maji ya Meriba-Kadeshi, kisha kupitia upande wa Kijito cha Misri hadi Bahari Kuu.
Bahari Kuu hapa ina maana ya Bahari ya Mediterania.

Copyright information for SwhKC